JINSI INAVYOFANYA KAZI

Rahisi. Haraka. Safi.

Tuma AI draft yako — mkamilishaji wetu aliyeidhinishwa ataifanya iwe production-ready quality. Hatua 4 tu.

1

Jiunge & Unda Profile

Jiandikishe kama Mteja (unatuma kazi) au Mkamilishaji (unafanya kazi). Jaza profile yako, ongeza ujuzi wako wa kukamilisha, na uwe tayari kupokea kazi.

  • Jiunge kwa dakika chache — bure kabisa
  • Wakamilishaji wanaweza kuanza kazi baada ya activation ya kawaida
  • Wateja wanaweza kutuma kazi mara moja baada ya kujiandikisha

Jiunge haraka

Tuma AI draft yako

2

Tuma AI Draft Yako

Kama Mteja: Post finishing job yako. Weka AI draft yako (Word, PDF, au maandishi), chagua aina ya kukamilisha unahohitaji, na deadline yako (24h, 48h, au 72h).

  • Aina: Writing, Design, Code Review, Translation, na zaidi
  • Chagua package: Basic, Standard, au Premium
  • Malipo yanashikiliwa salama katika escrow hadi ukubali kazi
3

Mkamilishaji Anafanya Kazi

Kama Mkamilishaji: Angalia kazi zinazopatikana, chagua inayolingana na ujuzi wako, na uifanye iwe production-ready. Tuma kazi iliyokamilishwa kabla ya deadline.

  • Angalia AI draft ya awali na maelekezo ya mteja
  • Polish, refine, na submit kazi iliyokamilika
  • Ongeza maelezo (notes) kuhusu mabadiliko uliofanya

Kukamilisha kwa ubora

Malipo ya M-Pesa

4

Kubali & Lipa via M-Pesa

Mteja anakagua kazi iliyokamilishwa. akipenda — anabonyeza "Kubali" na malipo yanatolewa kutoka escrow hadi pochi ya mkamilishaji moja kwa moja via M-Pesa.

  • Mteja: "Approve" kazi — malipo yanatolewa papo hapo
  • Mkamilishaji: "Payment of KSh X imetumwa kwa pochi yako."
  • Withdraw pochi yako kwa M-Pesa au benki wakati wowote
WEWE NI NANI?

Gig Yangu Inafanya Kazi Kwa Wote

Kama Mteja

  • Una AI draft — either ni ChatGPT, Gemini, au Claude etc — tunakubali zote
  • Post "finishing job" yako kwa bei ya moja kwa moja (KSh 500+)
  • Pokea kazi iliyokamilishwa ndani ya masaa 24-72
  • Kubali au omba marekebisho — hata ikiwa kuna tatizo, timu yetu ipo
Tuma Kazi Yangu

Kama Mkamilishaji

  • Una ujuzi wa Writing, Design, Code, Translation, au zaidi? Karibu!
  • Tengeneza packages zako (Basic, Standard, Premium) na bei yako
  • Fanya kazi kwa saa na masharti yako mwenyewe
  • Pata malipo ya moja kwa moja — M-Pesa moja kwa moja kwa pochi yako
Kuwa Mkamilishaji

Tayari Kuanza?

Jiunge na wakamilishaji na wateja 5,000+ wanaofanya kazi pamoja kwenye Gig Yangu