HADITHI ZA MAFANIKIO

Wanasema Nini?

Wakamilishaji na wateja wa Kenya wanaeleza jinsi Gig Yangu ilivyobadilisha maisha yao

KSh 900k+
Malipo Yaliyolipwa
700+
Kazi Zilizokamilika
99.5%
Mteja Satisfaction
47
Counties za Kenya
HADITHI ZILIZOANGAZIWA

Hadithi Zinazogusa Moyo

Hizi ni hadithi za kweli kutoka kwa watu wa Kenya wanaopata kipato kupitia Gig Yangu

WK

Wanjiku Kamau

Mkamilishaji — Writing & Editing, Nairobi

"Nilikuwa mwalimu wa shule ya msingi na kipato cha ziada kilihitajika. Niligundua Gig Yangu nikaamua kujaribu — Writing & Editing ndiyo ujuzi wangu. Ndani ya wiki moja ya kuanza, nilikuwa nimepata KSh 8,500 kutoka kwa clients watatu. Sasa ninapata zaidi ya mshahara wangu wa kufundisha kupitia Gig Yangu!"
KSh 45,000+ kwa mwezi — zaidi ya mshahara wake
Rating ya 4.9/5 kwa kazi 87+
Malipo yote via M-Pesa — "bila shida kabisa"
Wanjiku Kamau
Otieno Adhiambo
OA

Otieno Adhiambo

Mkamilishaji — Code & Tech Review, Kisumu

"Nimekuwa mkamilishaji wa Code & Tech Review kwa miezi 4 sasa. Watu wengi wanatumia AI kuandika code — lakini code hiyo mara nyingi ina bugs au haifuati best practices. Mimi ndiye ninayeikagua na kurekebisha. Welcome back every morning — Tuna kazi mpya za kufanya! Best decision I made."
KSh 120,000+ kwa mwezi wa kwanza kamili
Anafanya kazi kwa wateja 8-10 kwa wakati mmoja
Anafanya kazi kutoka Kisumu — "Hakuna haja ya kwenda Nairobi"
AM

Amina Mwangi

Mteja & Affiliate, Mombasa

"Mimi ni mteja — siandiki my marketing blog posts au sales pitch mwenyewe, natumia AI kutengeneza drafts kisha ninazipeleka Gig Yangu zikamilishwe. Baada ya polishing, blog yangu inakuwa na maandishi ya kiwango cha juu kabisa. Kupitia kazi nzuri ya GigYangu inanisaidia niuze product yangu na confidence kubwa sana ambapo return investiment yake ni guaranted.Pia nafanya side hustle ya affiliate marketing program through the same platform whereby na invite watu kujoin GigYangu kisha na earn ksh 400 per successful referral.I advice that Affiliate marketing is the best starting point for any indivual who dont have any technical skills to work as Mkamilishaji"
Blog traffic iliongezeka 300% baada ya kuanza kutumia Gig Yangu
Amerefer watu 12 — KSh 1,600 ya affiliate bonuses
"AI and GigYangu have created win-win game situation between clients and wakamilishaji"
Amina Mwangi

Maoni Zaidi kutoka kwa Jamii Yetu

Wakamilishaji na wateja kutoka kote Kenya wanasema nini

Daudi Ally

Daudi Ally

Mkamilishaji — Code Review, Nairobi

"Ubora wa kazi unaopatikana kwenye Gig Yangu ni wa hali ya juu. Nimeweza kufanya kazi na teknolojia za kisasa na kujenga portfolio nzuri. M-Pesa payments ni rahisi sana."

Emma Njeri

Emma Njeri

Mkamilishaji — Translation, Nakuru

"Translation & Localization ndiyo ujuzi wangu. Gig Yangu imenisaidia kupata wateja wanaohitaji Swahili translation ya kiwango cha juu. Ninapata KSh 30,000+ kwa mwezi nikiwa nyumbani."

James Kiprotich

James Kiprotich

Mteja — Data Analysis, Eldoret

"Nilikuwa na Excel files ambazo AI ilitengeneza — lakini zilikuwa zimefomatiwa vibaya kabisa. Mkamilishaji wa Data Analysis kwenye Gig Yangu alinifanyia kazi safi sana. Tena nitarudi!"

Mary Wambua

Mary Wambua

Mkamilishaji — Design & Layout, Mombasa

"Nilikuwa graphic designer bila wateja wa kutosha. Gig Yangu ilinipa platform nzuri — clients wananitumia AI presentations zao na mimi ninazifanya ziwe much professional kabisa."

Peter Omondi

Peter Omondi

Mteja — Audio/Video, Nairobi

"Podcast yangu ilitengenezwa na AI tools — lakini audio quality haikuwa nzuri. Mkamilishaji wa Audio/Video aliifanya iwe safi kabisa. Subscribers waliongezeka baada ya podcast ile!"

Faith Nyambura

Faith Nyambura

Mkamilishaji & Affiliate, Thika

"Niliwaambia wenzangu 15 kuhusu Gig Yangu — 9 walijiunga. Nilipata referral bonuses na pia ninafanya kazi kama mkamilishaji. Pato la pande mbili — ni opportunity ilioje!"

Wewe Pia Unaweza Kufanikiwa

Jiunge na jamii ya wakamilishaji na wateja ambao wanabadilisha maisha yao kupitia Gig Yangu